Ufafanuzi wa tarabe katika Kiswahili

tarabe

nominoPlural tarabe

  • 1

    mlango wenye pande mbili.

    ‘Mlango wa tarabe’

Asili

Kar

Matamshi

tarabe

/tarabɛ/