Ufafanuzi wa tarabizuna katika Kiswahili

tarabizuna

nomino

  • 1

    manukato yanayotengenezwa kutokana na maua ya aina mbalimbali na kuchanganywa na maji.

Asili

Kar

Matamshi

tarabizuna

/tarabizuna/