Ufafanuzi wa taraghani katika Kiswahili

taraghani

nomino

  • 1

    hali ya mtu kujiona bora kuliko wengine; kichwa kikubwa.

    ‘Siku hizi ana taraghani sana’
    majivuno, jeuri

Asili

Kar

Matamshi

taraghani

/taraɚani/