Ufafanuzi wa tarazia katika Kiswahili

tarazia

nominoPlural tarazia

  • 1

    ngoma inayochezwa na wanaume pamoja na wanawake ambao huzunguka duara na kupeana chambi.

Asili

Kar

Matamshi

tarazia

/tarazija/