Ufafanuzi wa tarika katika Kiswahili

tarika

nominoPlural tarika

Kidini
  • 1

    Kidini
    mafunzo ya dini ya Uislamu yanayotolewa na shehe au kiongozi fulani wa dini na yaliyojengeka kwa njia za ufanyaji ibada lakini ambayo hayatoki nje ya misingi ya dini hiyo.

  • 2

    Kidini
    kundi la watu wanaofuata mafunzo hayo.

Asili

Kar

Matamshi

tarika

/tarika/