Ufafanuzi msingi wa taruma katika Kiswahili

: taruma1taruma2

taruma1

nominoPlural mataruma

 • 1

  kipande cha mti kinachogongomelewa kwenye mbavu za chombo kwa ndani ili kutia imara mbao za mlazo.

 • 2

  kipande cha ubao au chuma ambacho hulazwa kwa mkingamo na reli kutandikwa juu yake.

Asili

Kar

Matamshi

taruma

/taruma/

Ufafanuzi msingi wa taruma katika Kiswahili

: taruma1taruma2

taruma2

nominoPlural mataruma

 • 1

  mkato mwilini, hasa usoni, unaoonyesha alama maalumu ya kabila au taifa.

  chale, nembo

Asili

Kar

Matamshi

taruma

/taruma/