Ufafanuzi wa tasbihi katika Kiswahili

tasbihi

nominoPlural tasbihi

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtungo wa shanga 99 unaotumiwa na baadhi ya Waislamu kuhesabia majina ya Mwenyezi Mungu.

  • 2

    Kidini
    aina ya rozari.

Asili

Kar

Matamshi

tasbihi

/tasbihi/