Ufafanuzi wa tashdidi katika Kiswahili

tashdidi

nominoPlural tashdidi

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    mkazo au msisitizo wa maneno yasemwayo au kuandikwa.

Asili

Kar

Matamshi

tashdidi

/ta∫didi/