Ufafanuzi wa tashihisi katika Kiswahili

tashihisi

nominoPlural tashihisi

  • 1

    Fasihi
    usemi wenye kukipa kitu kisicho uhai sifa ya kitu chenye uhai k.m. ‘Mlango ukamkodolea macho mgeni’.

  • 2

    tendo la.

Matamshi

tashihisi

/ta∫ihisi/