Ufafanuzi wa tashwishi katika Kiswahili

tashwishi, tashiwishi

nomino

  • 1

    hali ya kutokuwa na uhakika au makini.

    shaka, wasiwasi

Asili

Kar