Ufafanuzi msingi wa tasliti katika Kiswahili

: tasliti1tasliti2

tasliti1

nomino

  • 1

    hali ya kupenda kitu sana.

Asili

Kar

Matamshi

tasliti

/tasliti/

Ufafanuzi msingi wa tasliti katika Kiswahili

: tasliti1tasliti2

tasliti2

kitenzi elekezi

  • 1

    chongea au fitini watu ili wakosane.

Asili

Kar

Matamshi

tasliti

/tasliti/