Ufafanuzi wa tataga katika Kiswahili

tataga

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda kwa kubonyeabonyea kama mtu anayepita kwenye daraja la kamba.

Matamshi

tataga

/tataga/