Ufafanuzi wa tatanisha katika Kiswahili

tatanisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu kisieleweke vizuri.

    ‘Habari zimenitatanisha’
    gaja, tasa, tatiza, tanza, tinga, kanganya, buruga, vuruga, korofisha

Matamshi

tatanisha

/tataniāˆ«a/