Ufafanuzi wa tatizo katika Kiswahili

tatizo

nominoPlural matatizo

 • 1

  hali ya msongamano wa mambo; hali ya shida.

  masaibu

 • 2

  pingamizi

 • 3

  ugumu katika kutenda jambo au kazi.

Matamshi

tatizo

/tatizɔ/