Ufafanuzi wa taufiki katika Kiswahili

taufiki

nominoPlural taufiki

Kidini
  • 1

    Kidini
    kukubaliwa kwa haja aliyoombwa Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

taufiki

/tawufiki/