Ufafanuzi wa taumu katika Kiswahili

taumu

nominoPlural mataumu

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    nguzo mojawapo inayotumiwa kama mhimili wa kuegemezea chombo wakati wa kukiunda.

Asili

Kar

Matamshi

taumu

/tawumu/