Ufafanuzi wa tawadha katika Kiswahili

tawadha

kitenzi sielekezi

Kidini
  • 1

    Kidini
    osha viungo maalumu vya mwili ili kupata udhu kabla ya kusali.

  • 2

    Kidini
    safisha kwa maji k.v. miguu, mikono au tupu baada ya kwenda haja.

Asili

Kar

Matamshi

tawadha

/tawaĆ°a/