Ufafanuzi wa tawanya katika Kiswahili

tawanya

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    eneza kila mahali.

    tapanya

Matamshi

tawanya

/tawaɲa/