Ufafanuzi wa tawasali katika Kiswahili

tawasali

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha

Kidini
  • 1

    Kidini
    omba Mungu kwa kuunganisha maombi hayo na baraka au jaha ya mtu au watu wenye cheo kwa Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

tawasali

/tawasali/