Ufafanuzi wa tawaza katika Kiswahili

tawaza

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya sherehe rasmi za kumweka mtu katika cheo fulani cha uongozi wa siasa au dini.

    walia

Asili

Kar

Matamshi

tawaza

/tawaza/