Ufafanuzi wa tazama katika Kiswahili

tazama

kitenzi elekezi

 • 1

  elekeza macho kwenye kitu fulani ili kukiona.

  angalia, lola, ola, shufu, ona, angaza

 • 2

  saidia mtu kwa kumpa mahitaji yake.

  kimu

 • 3

  tahadhari

 • 4

  enenza, enga

Matamshi

tazama

/tazama/