Ufafanuzi wa tazamia katika Kiswahili

tazamia

kitenzi elekezi

  • 1

    piga ramli.

    angalilia, agua, tabiri

  • 2

    tarajia, tegemea, taraji, amania, tumai, rajua

Matamshi

tazamia

/tazamija/