Ufafanuzi msingi wa tebwere katika Kiswahili

: tebwere1tebwere2

tebwere1

kivumishi

 • 1

  -enye kulainika; -enye kulegea.

  laini, tepetepe

Matamshi

tebwere

/tɛbwɛrɛ/

Ufafanuzi msingi wa tebwere katika Kiswahili

: tebwere1tebwere2

tebwere2

kielezi

 • 1

  neno linalotumiwa kusisitiza kulainika kwa kitu.

  ‘Ndizi imelainika tebwere’

 • 2

  neno linalotumiwa kusisitiza hali ya kuchoka na kukata tamaa.

  ‘Ametebwereka tebwere’

Matamshi

tebwere

/tɛbwɛrɛ/