Ufafanuzi wa tegemea katika Kiswahili

tegemea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~wa, ~za

  • 1

    weka matumaini kupata mahitaji kutoka kwa mtu au kitu fulani.

    ‘Kilimo chetu kinategemea mvua’
    egema, amidi

  • 2

    taraji, amania, tumaini, tarajia, tazamia, elemea, rajua, jeta

Matamshi

tegemea

/tɛgɛmɛja/