Ufafanuzi wa tegu katika Kiswahili

tegu

nomino

  • 1

    chango kubwa lenye umbo bapa na pingiti, hupatikana katika miili ya wanyama na binadamu.

Matamshi

tegu

/tɛgu/