Ufafanuzi wa teguka katika Kiswahili

teguka

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    fanya maungio ya mifupa ya mwili yafyatuke.

Matamshi

teguka

/tɛguka/