Ufafanuzi wa teitei katika Kiswahili

teitei

nomino

  • 1

    suruali pana ya mwanamke inayofungwa kiunoni kwa uzi, agh. hushonwa kwa vitambaa laini.

Matamshi

teitei

/tɛItɛI/