Ufafanuzi msingi wa teka katika Kiswahili

: teka1teka2teka3

teka1

nominoPlural teka

 • 1

  sebule ndogo.

Matamshi

teka

/tɛka/

Ufafanuzi msingi wa teka katika Kiswahili

: teka1teka2teka3

teka2

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa, ~ana

 • 1

  chukua kutoka mahali fulani kwa k.v. bakuli, kopo au kata, kitu au mtu hasa cha majimaji au chembechembe.

 • 2

  chota, futa

Matamshi

teka

/tɛka/

Ufafanuzi msingi wa teka katika Kiswahili

: teka1teka2teka3

teka3

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa, ~ana

 • 1

  kamata watu, vifaa, n.k. kwa kushinda katika pambano au vita.

  duma

 • 2

  chukua kitu au mtu kwa nguvu ili akupatie kitu unachotaka au jambo unalodai.

Matamshi

teka

/tɛka/