Ufafanuzi wa tekeleza katika Kiswahili

tekeleza

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    fanya kama inavyotakiwa.

    ‘Serikali imetekeleza ahadi ya kutupa maji’
    kamilisha

Matamshi

tekeleza

/tɛkɛlɛza/