Ufafanuzi wa teketeza katika Kiswahili

teketeza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eka, ~wa

  • 1

    unguza kwa moto au joto kali.

    choma

  • 2

    haribu kabisa.

    daathari, angamiza

Matamshi

teketeza

/tɛkɛtɛza/