Ufafanuzi wa tekewa katika Kiswahili

tekewa

kitenzi sielekezi

  • 1

    shindwa la kufanya kwa kutokuwa na njia.

    hemewa

Matamshi

tekewa

/tɛkɛwa/