Ufafanuzi wa tekua katika Kiswahili

tekua

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    angusha kitu kwa kusukuma.

    tengua

  • 2

    ng’oa kwa nguvu k.v. mmea.

Matamshi

tekua

/tɛkuwa/