Ufafanuzi wa telegrafu katika Kiswahili

telegrafu

nomino

  • 1

    barua inayotumwa kwa njia ya simu.

Asili

Kng

Matamshi

telegrafu

/tɛlɛgrafu/