Ufafanuzi wa telekeza katika Kiswahili

telekeza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    acha kuendelea kushughulikia jambo baada ya kulianza.

    serereka

Matamshi

telekeza

/tɛlɛkɛza/