Ufafanuzi wa teleksi katika Kiswahili

teleksi

nomino

  • 1

    njia ya mawasiliano ambayo taarifa iliyoandikwa kwenye karatasi inasafirishwa yote kama ilivyo papo kwa haraka kwa kutumia mitambo kama ya simu.

Asili

Kng

Matamshi

teleksi

/tɛlɛksi/