Ufafanuzi wa tembeza katika Kiswahili

tembeza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    pitisha huku na huko kwa madhumuni ya kuonyesha au kuuza.

  • 2

    sindikiza katika sehemu mbalimbali za utalii n.k..

Matamshi

tembeza

/tɛmbɛza/