Ufafanuzi msingi wa tembo katika Kiswahili

: tembo1tembo2tembo3

tembo1

nomino

 • 1

  mnyama mkubwa wa nchi kavu mwenye masikio makubwa na mapana, mkonga na pembe mbili mdomoni.

  ndovu

Matamshi

tembo

/tɛmbɔ/

Ufafanuzi msingi wa tembo katika Kiswahili

: tembo1tembo2tembo3

tembo2

nomino

 • 1

  kileo kinachogemwa kutoka kwenye mnazi, mkoche, mchikichi au mvumo.

  mnazi

Matamshi

tembo

/tɛmbɔ/

Ufafanuzi msingi wa tembo katika Kiswahili

: tembo1tembo2tembo3

tembo3

nomino

 • 1

  samaki wa aina ya changu mwenye rangi ya manjano na mstari mweusi katikati.

  kitembwe

Matamshi

tembo

/tɛmbɔ/