Ufafanuzi wa temsi katika Kiswahili

temsi

nomino

  • 1

    nakshi ya madini inayotiwa katika mpini wa jambia au kisu.

Asili

Kar / Kaj

Matamshi

temsi

/tɛmsi/