Ufafanuzi msingi wa tenda katika Kiswahili

: tenda1tenda2

tenda1

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya jambo fulani.

    fanya

  • 2

    fanya jambo baya kwa mwingine.

    ‘Fulani amenitenda’

Matamshi

tenda

/tɛnda/

Ufafanuzi msingi wa tenda katika Kiswahili

: tenda1tenda2

tenda2

nomino

Asili

Kng

Matamshi

tenda

/tɛnda/