Ufafanuzi wa tendwa katika Kiswahili

tendwa

nominoPlural tendwa

  • 1

    jambo au hatua ya kuchukuliwa ili kusawazisha kitu kilichotokea.

    ‘Maradhi haya, tendwa yake nini?’

Matamshi

tendwa

/tɛndwa/