Ufafanuzi msingi wa tenga katika Kiswahili

: tenga1tenga2tenga3tenga4

tenga1

kitenzi elekezi

 • 1

  weka kando.

  chagua

Matamshi

tenga

/tɛnga/

Ufafanuzi msingi wa tenga katika Kiswahili

: tenga1tenga2tenga3tenga4

tenga2

nomino

 • 1

  kifaa kinachotengenezwa kwa matete au fito kinachotumiwa kuchukulia vitu k.v. kuku, nyanya au samaki.

Matamshi

tenga

/tɛnga/

Ufafanuzi msingi wa tenga katika Kiswahili

: tenga1tenga2tenga3tenga4

tenga3

nomino

 • 1

  samaki mkubwa mwenye umbo kama taa.

Matamshi

tenga

/tɛnga/

Ufafanuzi msingi wa tenga katika Kiswahili

: tenga1tenga2tenga3tenga4

tenga4

nomino

 • 1

  aina ya mtego wa kutegea ndege na wanyama wengine wa porini.

Matamshi

tenga

/tɛnga/