Ufafanuzi wa tenganisha katika Kiswahili

tenganisha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    achanisha.

    bandua

  • 2

    pasua

Matamshi

tenganisha

/tɛngani∫a/