Ufafanuzi wa tengemaa katika Kiswahili

tengemaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa kama inavyotakiwa.

    tengea

Matamshi

tengemaa

/tɛngɛma:/