Ufafanuzi wa tenka katika Kiswahili

tenka

nominoPlural matenka

  • 1

    gari lenye tangi kubwa linalotumiwa kubebea vitu viowevu k.v. mafuta, maji au gesi.

Matamshi

tenka

/tɛnka/