Ufafanuzi wa teo katika Kiswahili

teo

nominoPlural teo

  • 1

    kitu kinachosukwa kwa chane za miyaa, ngozi au kamba kinachotumiwa kurushia mawe.

    kombeo, kumbwewe

Matamshi

teo

/tɛwɔ/