Ufafanuzi wa tepe katika Kiswahili

tepe

nominoPlural tepe

  • 1

    alama inayovaliwa kwenye mkono au bega la sare ya askari kuonyesha cheo chake.

    beji

Matamshi

tepe

/tɛpɛ/