Ufafanuzi wa teta katika Kiswahili

teta

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    kuwa katika hali ya kutopatana.

    gombana

  • 2

    sema mtu kwa ubaya bila ya mwenyewe kujua.

    sengenya, sema, amba

Matamshi

teta

/tɛta/