Ufafanuzi wa tetemeko katika Kiswahili

tetemeko

nomino

  • 1

    tikisiko, hasa la ardhi.

    ‘Tetemeko la ardhi’
    zilizala

Matamshi

tetemeko

/tɛtɛmɛkɔ/