Ufafanuzi wa tetere katika Kiswahili

tetere

nominoPlural tetere

  • 1

    ndege mdogo kama njiwa wa rangi ya kijivujivu.

Matamshi

tetere

/tɛtɛrɛ/