Ufafanuzi wa thakilisha katika Kiswahili

thakilisha

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa taabu, mashaka au dhiki.

  • 2

    taabisha, tesa, dhulumu

Asili

Kar

Matamshi

thakilisha

/θakili∫a/